Ukoo Flani Mau Mau
Mizani
[Hook: Gaza]
Ukoo Flani ndani ya lab na mizani
Ukituona ndani ya club, samahani
Hawa ma-groupie ndani ya fani namna gani?
Tukipatana ndani ya club, ho, niaje?
Tukipatana ndani ya slum, bro, niaje?
Tukipatana ndani ya club, ho, niaje?
Ukoo Flani ndani ya lab na mizani
Wakituona ndani ya slums…
Ukoo Flani!

[Verse 1: Zakah]
Elfu mbili na sita, nashika, nazika, naandika mistari, mizani
Methali mezani, ulidhani ni nani
Amekuja kubadili family zote za ghetto
Na mental, vitendo, mienendo (Hah!)
Hebu punguza mapupa za media, kipindi ni ya
MAU double, penye si hu-struggle
Kupita through milango za dancehall ni jasho za Dando
Iwe hardcore ama commercial tuko macho, macho
Uncle nipe heshima
Lazima, hustler atashiba kabla alipe keja, teja
Afadhali awe kilema, hema kabla ulale jela
Msela, tingika na mabega
Kubali we ni member, member
Wahenga walisema: Mgema akisifiwa, lazima utazidiwa
[Hook: Gaza]
Ukoo Flani ndani ya lab na mizani
Ukituona ndani ya club, samahani
Hawa ma-groupie ndani ya fani namna gani?
Tukipatana ndani ya club, ho, niaje?
Tukipatana ndani ya slum, bro, niaje?
Tukipatana ndani ya club, ho, niaje?
Ukoo Flani ndani ya lab na mizani
Wakituona ndani ya slums…
Ukoo Flani!

[Verse 2: Roba Mwenyeji]
Soma dibaji ya Wenyeji inasemaje
Soma gazeti za Dandora zinasemaje
Uko kwa mikono za polisi utahepaje?
Umekutana na jambazi, si ujikate
Ukoo Flani wakiwa ndani usijishashe
Kama una gode na ki-lighter si ukiwashe
Zikusanye, usijibanze
Heri ujikaze, wasikupate
Ni mapema itabidi ujipange
Hawa mafala hawataki si tumange
Nipate kwa club, lazima wajirushe
Tupate kwa slum, lazima tuwakilishe
Jipate kwa show, lazima ujulishwe
Ni hip hop, ni hii song
Hai-distort hii single
(Ni nini?) Ni legal, ni lethal ilivyo
UK-double O, MAU double
[Hook: Gaza]
Ukoo Flani ndani ya lab na mizani
Ukituona ndani ya club, samahani
Hawa ma-groupie ndani ya fani namna gani?
Tukipatana ndani ya club, ho, niaje?
Tukipatana ndani ya slum, bro, niaje?
Tukipatana ndani ya club, ho, niaje?
Ukoo Flani ndani ya lab na mizani
Wakituona ndani ya slums…
Ukoo Flani ndani ya lab na mizani
Ukituona ndani ya club, samahani
Hawa ma-groupie ndani ya fani namna gani?
Tukipatana ndani ya club, ho, niaje?
Tukipatana ndani ya slum, bro, niaje?
Tukipatana ndani ya club, ho, niaje?
Ukoo Flani ndani ya lab na mizani
Wakituona ndani ya slums…
Ukoo Flani!

[Outro: Robah Mwenyeji]
Kama umeshikwa na magava mitaani
Soma dibaji ya Wenyeji inasemaje
Kama umekutwa ukikunya hadharani
Soma dibaji ya Wenyeji inasemaje
Kama umekutwa ukilala darasani
Soma dibaji ya Wenyeji inasemaje
Soma gazeti za Dandora zinasemaje
Ukoo Flani ikiwa ndani usijishashe
Ukoo Flani ikiwa ndani usijishashe